BENKI YA POSTA YAZINDUA HUDUMA YA "TPB POPOTE"
 
 
   
         
 
   
Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (katikati) akibonyeza simu  ya mkononi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya TPB POPOTE, ambayo inamwezesha mteja kupata taarifa mbalimbali, kununua  muda wa maongezi, luku na kutuma  na kuweka fedha. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba  Moshingi, ambaye anaangalia  Projector ili kuangalia taarifa za Waziri Mkulo na kulia ni  mfanyakazi wa benki hiyo. Uzindunzi huo ulifanyika kwenye hoteli ya  Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam  leo. PICHA  NA MAGRETH KINABO - MAELEZO 
Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba  Moshingi, akizungumzia kuhusu uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTE  ulifanyika kwenye hoteli ya  Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo  
Kikundi cha burudani cha Simba Theatre akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa   baada ya  uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTE  ulifanyika kwenye hoteli ya  Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo.  
Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba  Moshingi, ( kushoto) akimsikiliza kwa makini  Posta Master Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, John  Mndeme(kulia ) anayesisitiza jambo  mara baada ya  uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTE  ulifanyika kwenye hoteli ya  Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Posta Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa watendaji  mara baada ya  uzindunzi wa huduma ya TPB POPOTE  ulifanyika leo  kwenye hoteli ya  Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam.  
 
 
 
                        
                    
 
  
 
 
 
No comments :
Post a Comment