Mshindi wa kwanza wa Kilomita 140 wa mbio za baiskeli za “Vodacom Tanga cycle Challenge “ Hassan Sharif akimaliza mbio hizo kwa kwa kutumia masaa 4.13.07 .ambapo mbio hizo zilianzia katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga hadi Hale na kurudi katika uwanja huo hapo jana.
Naibu Meya wa Mkoa wa Tanga Seleboss Mustafa akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja Mshindi wa kwanza wa mbio za Vodacom Tanga Cycle Challenge wa kilomita 80,Kadushi Nkandi (kulia) mara baada ya kuibuka kidedea katika mbio hizo wapili toka kushoto Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude na msimamizi wa mawakala kanda ya Kaskazini Michael Kasun.
Naibu Meya wa Mkoa wa Tanga Seleboss Mustafa akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja na nusu Mshindi wa kwanza wa mbio za Vodacom Tanga Cycle Challenge wa kilomita 140,Hassan Sharif (kulia) mara baada ya kuibuka kidedea katika mbio hizo kwa kutumia muda wa masaa 4:13.07 wapili toka kushoto Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude na msimamizi wa mawakala kanda ya Kaskazini Michael Kasun.
Mwaandaaji wa Mbio za baiskel za Vodacom Tanga Cycle Challenge Sophy Wakati akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto kabla ya mbio hizo kuanza,wa pili kutoka kushoto Buruhani Yakub ambae ni Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Communication na Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Washiriki mbio za Vodacom Tanga Cycle Challenge kwa upande wa walemavu wakimaliza mbio hizo hapo jana mjini Tanga.
Baadhi ya washiriki wa mbio za baiskel za Vodacom Tanga Cycle Challenge wa kilometa 140 wakichuana vikali hapo jana mjini Tanga ambapo Hassan Sharif aliibuka mshindi kwa kutumia masaa
No comments :
Post a Comment