
BOndia Fransic MIyayusho wa pili kulia akiwa katika picha ya pamoja na promota wake Mohamedi Bawaziri na kushoto ni Mdau wa michezo Wilaya ya KInondoni Prosper Mzee pamoja na kocha wake msaidizi kulia

Msanii Recho akiongea wakati wa sherehe ya kumpongeza

Aliyekua mweka azina wa kamati ya ushindi akisoma risara waliyomuandalia mgeni rasmi

Fransic MIyayusho akiwa na baba na mama yake Mzazi

MIyayusho na mama yake Mzazi

Miyayusho na Baba yake mzazi

Bondia Fransic Miyayusho wa pili (kulia) akimkabizi mkanda aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ngumi za Ridhaa Nchini(BFT) ambaye sasa ni Mfadhiri wake Meja, David Kyungu kulia wakati wa sherehe ya kumpongeza baada ya kuwa bingwa wa mkanda wa UBO kwa kumtwanga bondia, Mbwana Matumla wa Temeke kulia Promota wake, Mohamedi Bawaziri na Mdau wa michezo wa Wilaya ya Kinondoni Prosper Mzee.

No comments :
Post a Comment