KAMISHNA BADRU KUPUNGUZA MIGOGORO KATI YA WANYAMAPORI NA BINADAMU NGORONGORO
-
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 na kupatikana kwa
madiwani wapya ndani kwa kata zilizopo ndani ya Hifa...
9 hours ago


Maendeleo kama haya, yanatakiwa, kwa kuwawezesha wanajamii wa mbeya kupata huduma ya kuhifadhi fedha zao kwa usalama, na kupata mahitaji mengineyo kupitia benki kama hii.
ReplyDeleteTunawapongeza hii benki na iendeleze changamoto yake kwa kuongeza kufungua matawi mengineyo katika mikoa mingine pia, kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi zaidi.
Asante!