Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo Matlida Masuka ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini China. Mafunzo hayo ya wiki tatu yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo Judica Nagunwa ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa. Mafunzo hayo ya wiki tatu yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo Innocent Shiyo ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya. Mafunzo hayo ya wiki tatu yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara hiyo Abdallah Kilima ambaye ni mfanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania katika nchi za falme ya Kiarabu. Mafunzo hayo ya wiki tatu yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi maafisa waandamizi wa wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakimsikiliza Waziri wa wizara hiyo Bernard Membe (hayupo pichani) wakati akifunga mafunzo hayo. Washiriki wa mafunzo hayo ni maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe (watano kutoka kushoto mstari wa mbele ) akiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi wa ofisi za balozi za Tanzania na maafisa wa wizara hiyo waliomaliza mafunzo ya wiki tatu ya kuwajengea uwezo wa kazi yaliandaliwa na Chuo cha Diplomasia kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam.
http://fullshangwe.blogspot.com
No comments :
Post a Comment