Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Julius Ningu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo, kuzungumzia maandalizi ya Mkutano wa 17 wa Nchi zilizoridhia mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Tabia nchi unaotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi huu Durban Afrika ya Kusini. Kushoto ni, Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia mabadiliko ya Tabianchi, Richard Muyungi
RAS MKOA WA PWANI AFUNGUA MAFUNZO YA O&OD
-
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, amefungua kikao kazi cha
mafunzo ya siku mbili kwa vikosi kazi vya utekelezaji wa Mfumo wa Fursa na
Vikwaz...
21 hours ago

No comments :
Post a Comment