Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, December 15, 2011

CASTLE LITE TAIFA CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO


Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Lilian Hermani (Kulia) na Mary Meshack wa mkoa wa Shinyanga wakinyang’anyana mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morin Syzia (Kulia) akicheza wakati Marry Meshack akijaribu kuzuiya wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es SalaamMchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morine Syzia wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es SalaamMchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Tuku Subira (Kushoto) na Semeni godwini wa mkoa wa Shinyanga wakiwania mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam

Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Shinyanga , Marry Meshack (Kushoto)akijaribu kumtoka Morine Syzia wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam

No comments :

Post a Comment