Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Matangazo wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bi, Sarah Kibonde (kushoto) na Ofisa uhusiano wa mamlaka hiyo wakitoa maelekezo, mbalimbali kutoka kwa wananchi waliofika katika banda lao wakati wa Mahadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya Mwalimu nyerere sabasaba Dar es salaam
MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI MKUTANO WA LDCs,QATAR
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akishiriki Mkutano wa pembezoni wa nchi zinazoendelea (LDCs) ulioongozwa na
Waz...
2 hours ago
No comments :
Post a Comment