Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, April 22, 2012

CHUO CHA UTAWALA WA UMMA ZANZIBAR CHAPATA RAIS MPYA


Wanafunzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA wakicheza na kufurahia katika sherehe ya Kumuapisha Rais mpya wa Chuo hicho,sherehe zilizofanyika huko katika Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Rais Mteule Khatib Juma Pandu akiapishwa kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA na Mwanasheria Humud Said Humud sherehe zilizofanyika huko katika Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Rais Mteule Khatib Juma Pandu akitia saini hati ya Kiapo kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA na kushuhudiwa na  Mwanasheria Humud Said Humud sherehe zilizofanyika huko katika Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria katika sherehe hio wakimpongeza Rais Mteula baada ya kula kiapo cha kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA sherehe zilizofanyika huko katika Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.
Rais Mteule Khatib Juma Pandu akitoa hotuba ya shukurani kwa Wanafunzi na waalikwa mbalimbali Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar IPA sherehe zilizofanyika huko katika Ukumbi wa People Palace Forodhani mjini Zanzibar.kulia kwake ni Rais Mstaafu wa Chuo hicho Haji Abdulswamad na kushoto yake ni Mkurugenzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Biharusi Masheko Ali.
 
Mgeni rasmi katika hafla ya kumuapisha Rais wa Chuo cha Utawala wa Umma Biharusi Masheko akitoa hotuba kwa wanafunzi pamoja na waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika hio iliofanyika katika Ukumbi wa People Palace Forodhani Mjini Zanzibar.
 PICHA NA YUSSUF SIMAI ALI -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :

Post a Comment