Mgeni rasmi wa Tamasha la Pasaka Mkoani Dodoma
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai akipokea
CD kutoka kwa Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama, inayoitwa "Utukufu
Kwa Mungu"ya muziki wa injiili kutoka kwa Mwanamuziki Solomon Mukubwa wa DRC
Congo, iliyozinduliwa jana kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na Waziri
wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernald Membe

Tamasha lingine kubwa limefanyika leo kwenye
uwanja wa Jamhuti mjini Dodoma likishirikisha waimbaji lukuki kutoka hapa nchini
na nje ya nchi kufuatia lile la jana kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam
ambapo mwimbaji wa Afrika ya Kusini Rebecca Malope alitumuiza.

Mkuu wa Mkoa waa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi
akipokea CD yake ya Utukufu kwa Mungu kutoka kwa Mkurugenzi wa Msama Promotion
Alex Msama.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Betty Mkwasa akipokea
CD yake ya Utukufu kwa Mungu kutoka kwa Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex
Msama.
CD yake ya Utukufu kwa Mungu kutoka kwa Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex
Msama.
Mgeni rasmi wa Tamasha la Pasaka Mkoani Dodoma
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Job Ndugai
akizungumza katika tamasha hilo leo jioni kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma,
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi na kushoto ni Mkurugenzi wa
Msama Promotion Alex Msama

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi na
kushoto akiongea na wanadodoma kwenye tamasha hilo ambapo aliwahimiza wananchi
wa Dodoma kuufanya mkoa wa Dodoma kuwa makao makuu ya amani nchini, Kushoto ni
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Job Nduga na
katikati ni Alex Msama.

No comments :
Post a Comment