Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, April 26, 2012

Odama Achanganya wanaume Leaders!


MSANII maarufu kwenye tasnia ya filamu nchini, Jenifer Kyaka ‘Odama’ Jumapili iliyopita aliwachanga wanaume kwenye Viwanja vya Leaders, Dar es Salaam kutokana na kubadilika kila mara.

Midume iliyokuwa ikitwanga starehe kwenye viwanja hivyo maarufu jijini Dar es Salaam, ilijikuta ikimfuatilia bila matumaini baada ya dada huyo kubadilika-badilika .

"Huyu dada sijui vipi mara ya kwanza alionekana kavalia nguo nyingine, mda tena tunamuona na vazi jingine niyeye huyu ama ," alisikika akisema kidume mmoja.

Hata hivyo hali hiyo pia ilishuhudiwa pia na wadau wengine ambao walisema huenda
Odama yuko kwenye maandalizi ya filamu hivyo anafanya mazoezi.

Kwani mda wa saa 6:00 alionekana kavaa vazi la dela na wakati giza likianza kuingia katika viwanja hivyo, ghafla tena akaonekana kuvaa fulana na suruali yenye kubana 'taiti'.

Msanii huyo hivi karibuni ameanzisha kampuni yake ya iitwayo J-Film 4 Live kwa ajili ya kazi hizo za tasnia hiyo ya filamu.

No comments :

Post a Comment