Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki , Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 18,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mbunge wa Busega, Dr.Titus Kamani akisalimiana na madaktari wanafunzi wa Chuo cha Bugando, Mwanza ambao Aprili 18, 2012 walitembelea Bunge Mjini Dodoma.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
RAIS SAMIA AWASILI KILIMANJARO KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MSUYA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika
Uwanja ...
23 hours ago
No comments :
Post a Comment