Bondia Georger Dimoso kushoto 
akipambana na Said Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamoso 
iliyopita Mbelwa alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nane Picha 
na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifatilia kwa makini mchezo huo
| Bondia Hamza Mchanjo kushoto akipambana na Juma Fundi wakati  wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Fundi alishinda kwa point mpambano huo wa raundi sita picha na SUPER D BLOG  | 
Bondia Aman Bariko 'Manny Chuga' akioneshana umwamba na Ally Bugingo wakati wa mpambano wao Bariki alishinda kwa point picha na SUPER D BLOG
Bondia Zamoyoni Mbishi kushoto 
akipambana na Sadiq Nuru wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Mbishi 
alishinda kwa pointi picha na SUPER D BLOG
Bondia Hassan Mandula kulia 
akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mohamed Jaka Mandula 
alishinda kwa TKO ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
No comments :
Post a Comment