Wasanii wa bendi ya msondo ngoma 
wakutumbuiza katika uwanja wa sigara chan'gombe kutoka kushoto ni Said 
Mabela, Othumani Kambi na Mustafa Pishuu picha na www.burudan.blogspot.com
Wachalaza magita wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao kudhoto ni Said Mabela na Mustafa Pishuu picha na www.burudan.blogspot.com
Waimbaji wa bendi ya msondo wakitumbuiza wakati wa 
muendeleo wa wiki ya kutimiza miaka 50 ya bendi hiyo iliyofanyika katika
 viwanja vya Sigara Chan'gombe Dar es salaam kutoka kushoto ni  Othumani
 Kambi, Shabani Dede na Juma Katundu Picha na 
www.burudan.blogspot.com
www.burudan.blogspot.com
No comments :
Post a Comment