Bondia Stevin Kobelo kushoto 
akioneshana umwamba na Ally Jaka wakati wa mpambano wao uliofanyika 
kimara king'ongo Dar es salaam mwishoni mwa wiki iliyopita Kobelo 
alishinda kwa K,O ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
 Bondia Julius Kisalawe kushoto 
akipambana na Issa Mangweni wakati wa mpambano wao Kisalawe alishinda 
kwa K,O ya raundi ya pili picha na SUPER D BLOG
Bondia Azizi Abdallah kulia akipokea 
DVD ya mafunzo ya mchezo wa ngumi kutoka kwa Katibu wa Afya na mazingira
 katika kata ya kin'gongo Yusuph Malipula picha na SUPER D BLOG
No comments :
Post a Comment