  | 
| Mkurugenzi
 Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. 
David Mgwassa wa pili  kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi 
viwanda na biashara  kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam | 
  | 
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya  
wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam | 
  | 
| Ofisa
 wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia akiwaonesha kinywaji cha 
zanzi wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  walipotembelea 
kiwanda hicho  | 
Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiangalia mashine inayotengeneza konyagi ya kiroba
 
No comments :
Post a Comment