
Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho 
ya Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" 
kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.

Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi mbali mbali kukata
 utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii 
"Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani 
City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.

Sehemu
 ya Wageni kutoka nchi mbali mbali wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya 
Kimataifa ya Utalii "Swahili International Tourism Expo (SITE)" kwenye 
Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014.

Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye 
picha ya pamoja baadhi Wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania,ambao ndio
 waratibu wakuu wa Maonyesho hayo ya  Kimataifa ya Utalii "Swahili 
International Tourism Expo (SITE)" kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini 
Dar es Salaam leo Oktoba 2,2014. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment