Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa 
Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba, wakati walipofika 
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Oktoba 22, 2014.
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akizungumza na Ujumbe wa UBA Tanzania ulioongozwa na aliyekuwa 
Mkurugenzi wake Mkuu mstaafu, General Robert Mbomba (kulia) wakati 
walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana 
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa UBA Tanzania, baada ya 
mazunguzmo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, 
jana.
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akiagana na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa UBA Tanzania, General Robert 
Mboma, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu 
jijini Dar es Salaam.

No comments :
Post a Comment