
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisalimiana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, 
wakati aliwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, 
leo Oktoba 28, 2014 kwa ajili ya kufungua rasmi Maonesho ya mwezi wa 
Wanawake Wajasiliamali (MOWE).
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
 akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya GS 1, Ester 
Budili, wakati alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya 
Wajasiliamali, wakati wa ufunguzi wa Maonesho hayo ya mwezi ya Wanawakae
 wajasaliamali (MOWE) yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja 
jijini Dar es Salaam leo.Oktoba 28, 2014. Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene.

No comments :
Post a Comment