Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika 
jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es 
salaam. 
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akimkabidhi tunzo Edward Said Tingatinga msanii aliyejitolea 
maisha yake kwa Jamii, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii
yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
 Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib 
Bilal, akimkabidhi tunzo Josephat Kanuti msanii aliyejitolea maisha yake
 katika tasnia ya sanaa Nchini,   kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii 
yaliyofanyika jana usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City 
jijini Dar es salaam.
 Wasanii
 na wananchi mbalimbali waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo 
wakifuatilia kwa karibu matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika kwenye
 ukumbi huo. (Picha na OMR).
No comments :
Post a Comment