Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, March 11, 2010

TEGETE, RAZACK, MSIGWA KWENDA NJE KUFANYA MAJARIBIO

Wachezaji watatu wa Watoto wa Jangwani YANGA Jerson Jerry Tegete,Razak Khalfan na Ally Msigwa wanataraji kutimkia nje ya nchi kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa.
Afisa habari wa YANGA LOUIS SENDEU amesema Tegete anatakiwa na DULKUD FF ya ligi daraja la pili nchini Sweden huku Razak akitakiwa na klabu ya Vancouver White Caps anakosukumia gozi kaka yake Nizar Khalfan na Msigwa yeye akitakiwa na timu ya HIGHRENDAZ.
Wakati huohuo maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ya YANGA yanaendelea ambapo marekebisho ya katiba yamesambazwa katika matawi yote ya Tanzania ili wajiridhishe.

No comments :

Post a Comment