Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, March 3, 2010

YANGA WAKUNA KICHWA KWA PAPIC

Uongozi wa klabu ya Yanga wajikanyaga dhidi ya maamuzi ya taarifa iliyotolewa na kocha Kostadin Bozidar Papic ya kwamba anampango wa kuwamwaga kutokana na kutopata stahili yake ipasavyo.
Luisi Sendeu ni Afisa Habari wa Yanga, amekiri kocha huyo anawadai mshahara wa mwezi mmoja lakini amewataka mashabiki kusubiri makubaliano watakayoyafikia na uongozi wa klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani.
Kwa mujibu wa taarifa ambayo imechapipshwa na magazeti leo, Papic amebainisha kwamba amechoshwa na vitendo anavyofanyiwa na Uongozi wa klabu ya Yanga ikiwa ni pamoja na kutompatia malipo yake kwa wakati, jambo ambalo limekuwa likimfanya atumiwe fedha toka Serbia badala ya mshahara ambao anastahili kupata.
Aidha Papic amesema hapewi heshima anayostahili na viongozi wa klabu ya Yanga jambo ambalo anahisi kama wanamdharau na ndiyo maana wanamnyanyasa licha ya kuibadili Yanga na kucheza soka bora.

No comments :

Post a Comment