Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini imetoa msaada wa madawati mia moja na kumi kwa shule za msingi Sinde, Maanga, Lyoto na Ilomba ili kuboresha huduma za elimu kwa shule hizo.
MKOA WA PWANI WENYEJI MICHUANO YA RIADHA KITAIFA 2026
-
Mkoa wa Pwani unayo heshima ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Riadha
Kitaifa 2026, yatakayoanza Julai 3, 2026 katika Viwanja vya Filbert Bayi,
eneo la P...
17 hours ago
No comments :
Post a Comment