Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, February 23, 2012

TANZANIA YASAINI MOU YA KUPELEKA WASHITAKIWA WA UHARAMIA WA KISOMALI KATIKA JELA HUSIKA














Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict resolution, and climate change) wa Uingereza, Hendry Bellingham, wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe (kulia mbele) akitiliana saini na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika Bahari kuu wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo, Lancaster House, London.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri masuala ya Jumuiya ya Madola, Umoja wa Mataifa na Afrika na Mazingira ( Parliamentary Under Secretary responsible for Africa, United Nations, economic issues, conflict resolution, and climate change) wa Uingereza, Hendry Bellingham, wakishuhudia Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe (kulia) akibadilishana mkataba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza baada ya kutiliana saini mkataba huo kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo mbili juu ya taratibu za kukabidhiana watuhumiwa wa uharamia na mali zilizokamatwa katika matukio ya uharamia katika Bahari kuu wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo, Lancaster House, London. PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment