Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, February 13, 2012

CFAO MOTORS YAKABIDHI MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 22 KWA HOSPITALI YA CCBRT


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya CFAO Motors Roddy Sharp akikabidhi hundi ya shilingi milioni 22, 448,000 kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCRBT Erwin Telemans ikiwa ni msaada wa kuunga mkono huduma zinazotolewa na Hospitali hiyo ambapo Uongozi wa Hospitali hiyo umesema fedha hizo zitaelekezwa katika kitengo kinachohudumia watoto walioungua kuwawezesha kurejea katika hali yao ya kawaida. Wa kwanza kulia ni Afisa Masoko wa CFAO Motors Alfred Minja na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa CCBRT Haika Mawala.
Afisa Masoko wa CFAO Motors Alfred Minja akipeana mkono na Mkurugenzi Msaidizi wa CCBRT Haika Mawala wakati wa kukabidhiwa kwa hundi hiyo.
We are delighted to announce that CFAO MOTORS TANZANIA, on behalf of CFAO SOLIDARITY in France, is donating TZS 22m to help CCBRT Hospital.

CFAO has been involved in business in Africa for over 125 years. The group employs around 9,200 staff in 31 African countries and 7 French overseas territories. Since its future is inextricably linked with that of Africa, it is only right that CFAO should assist in its development.

Via its various lines of business, CFAO makes its contributions to sustainable development issues in Africa and is forging ahead with a far-reaching strategy in terms of Corporate Social Responsibility.

At CFAO MOTORS TANZANIA we have studied with great admiration the truly amazing work that CCBRT does. We have persuaded our head office to provide financial support so that CCBRT can continue to do wonders in our society.

We all know how difficult it is sometimes for sick or disabled people in our country to get quality medical care, even for the most basic ailments. CCBRT has been fantastic in ensuring medical care is available to the community and at the most affordable prices.

We have also noted that monies donated to CCBRT are always used in a responsible manner for the maximum benefits of its patients. This makes us very comfortable supporting the project as we know that our money will definitely benefit the needy.

On behalf of CFAO SOLIDARITY in France and CFAO MOTORS TANZANIA, I would like to present this cheque which I am sure will be put into good use in the community.

No comments :

Post a Comment