Meneja wa tigo wa Mkoa wa Kilimnjaro Adolph Sula akimkabidhi kikombe mshindi wa kwanza wa timu ya Veta baada ya kuifunga timu ya chuo cha Ushirika moshi kwa penalti 5 kwa 4. Kampuni ya Tigo iliwezesha Bonanza la wanavyuo mkoani kilimanjaro ili kuhamasisha umoja, ushirikiano pamoja na kuwajengea wanavyuo tabia ya kupenda na kuthamini michezo.
Timu ya chuo kiukuu kishiriki cha ushirika na biashara( MUCCOBS) wakiwa katika picha ya pamoja katika bonnza la michezo lililoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kabla ya mchezo kuanza
No comments :
Post a Comment