Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, February 21, 2012

OMARI MKALI NA STARA TOMASI WAUNGANA KUMTUKUZA BWANA






MSANII nguli mchini wa mziki wa mduara Omari Mkari yupo mbioni kukamilisha albam mchanganyiko yenye nyimbo kadhaa za kusifia bwana akizungumza na mwandishi wetu Alisema kuwa kwa sasa ameamua kuweka kando miziki ya kidunia kwa kuwa wakati umekwenda na sasa atakuwa akishirikiana na kwaya mbalimbali kwa ajili ya kutoa nyimbo za kumtukuza bwana Akizungumzia DVD ambayo ipo njiani kutoka itakayokwenda kwa jina la Mkono wa Bwana iliyotolewa na Amen Part 3 Aliyoshilikiana na msanii wa Zuku Stara Tomas itakuwa moto wa kuotea mbali kwani kwa sasa kazi hizo zitakuwa zikisimamiwa na kampuni ya Steps Entatainmenti na kuwa na soko la uwakika kwakuwa kampuni hiyo imesambaa takribani nchi nzima na nchi za jirani kwa sasa Albamu hiyo itakayokuwa na nyimbo nane itakua chachu kwa watu wengu kumtukuza bwana


No comments :

Post a Comment