Mtangazaji wa Redio ya Clouds FM, Alex Lwambano akitofautisha rangi za bia kwa kuangalia wakati wa mashindano ya kuonja ladha ya bia yaliyoandaliwa na Ka mpuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Makao Makuu ya TBL mwishoni mwa wiki. Walioibuka washindi katika kinyang'anyiro hicho ni; Mpigapicha wa gazeti la Tanzania Daima, Francis Dande (nafasi ya kwanza), Mpigapicha wa gazeti la Mwananchi, Venance Nestori (nafasi ya pili) na Clifod Ndimbo wa Radio Times FM aliyeambulia nafasi ya tatu.
MWENEZI PWANI : HOTUBA YA MHE.RAIS SAMIA IMETOA DIRA YA MATUMAINI KWA TAIFA
LETU
-
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Pwani Dkt. David Mramba.
Na Mwandishi Wetu, Kibaha
Katibu wa Siasa ,Uenezi na Mafunzo Cha Mapinduzi...
1 hour ago
No comments :
Post a Comment