Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, February 12, 2012

wasanii warudi kijijini wajenga kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kulia) akiwa na wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana wa pili kulia ni Ahmed Olotu 'Chilo' Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki' Katibu wa mtandao huo, Selemani Pembe.(picha na www.burudan.blogspot.com)
Waandishi wakichukua taswira ya nyumba hizo
Waandishi wakitembelea kujionea ujanzi wa nyumba hizo jana
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib akitoa maelezo ya nyumba zinazoendelea kujengwa katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana
(picha na www.burudan.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (kulia) akiwa na wajumbe pamoja na viongozi wa mtandao huo walipokwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana wa pili kulia ni Ahmed Olotu 'Chilo' Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki' Katibu wa mtandao huo, Selemani Pembe.(picha na www.burudan.blogspot.com)
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (katikati) akimwelekeza Sheikh Majaliwa Selemani aliekwenda kuangalia maendeleo ya kijiji cha Mwanzega Mkulanga Tarafa ya Chingungweni, zinapojengwa nyuma kwa ajili ya wasanii Sheikh Majaliwa , alitoa Ahadi ya kujenga Msikiti na Madrasa itakayofadhiliwa na African Relief Comettee Kuwait (picha na www.burudan.blogspot.com)
Baadhi ya nyumba ambazo zipo tayali
Waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajili ya kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijiji cha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwani jana kutoka kulia ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi Mwanza Mpango ' King Kiki'.(picha na www.burudan.blogspot.com)

No comments :

Post a Comment