Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, February 17, 2012

Usajili wa Watunzaji (Custodians) na Wawekezaji (Fund Managers)




Tunapenda kuutaarifu Umma kwamba Mamlaka itaanza kusajili Watunzaji (Custodians) na Wawekezaji( Fund Managers) kama inavyoelekezwa katika kifungu cha 5 (1)(a) cha Sheria ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii. Usajili huo utaanza tarehe 20 Machi 2012,

Hivyo Mamlaka inaalika Kampuni zenye sifa za kuwa Watunzaji na Wawekezaji ili watume maombi ya kujiandikisha.

Kwa Watunzaji na Wawekezaji ambao tayari wamesajiliwa katika Mamlaka ya Soko la Mitaji na Dhamana (CMSA) wanaombwa kuambatanisha kivuli cha cheti cha usajili kikionesha pamoja na mambo mengine namba ya Usajili.

Angalizo: Taratibu za Uandikishaji wa Mifuko ya Hiari (Supplementary Schemes/Occupational Schemes) zitafuata baadae .

Kwa maelezo zaidi juu ya kujisajili tafadhali tembelea tovuti yetu: www.ssra.go.tz au wasiliana na;

Mkurugenzi Mkuu


Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii

Jengo la Alfa, New Bagamoyo Road

S.L.P 31846, Dar es Salaam

Simu: +2559(22) 2761683-4/2761689

Nukushi +255(22) 2761681

Barua pepe: info@ssra.go.tz

Tovuti: www.ssra.go.tz


No comments :

Post a Comment