Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, February 14, 2012

BENKI YA NBC YAKABIDHI HUNDI YA SHS BILIONI MOJA KUNUNUA HISA ZA TMRC.







Meneja Chapa na Matangazo wa NBC, Arden Kitomari akiweka sawa baadhi ya mambo katika tukio hilo jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru na CEO wa TMRC, Rished Bade.



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs Bilioni moja kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya mahususi ya kutafuta fedha na kutoa mikopo ya muda mrefu ya nyumba (TMRC), Rished Bade ikiwa ni kiasi cha kununua hisa za asilimia 10.87 ndani ya TMRC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.





Ofisa Mtendaji Mkuu wa TMRC, Rished Bade akizungumza katika haflahiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru.



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kushoto, walioketi) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni mahususi ya kutafuta fedha na kutoa mikopo ya muda mrefu ya nyumba (TMRC), Rished Bade (kushoto kwake) wakiwa pamoja na baadhi ya maofia wa TMRC na wa benki hiyo katika hafla hiyo jijini Dar es Salaam leo.


No comments :

Post a Comment