Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, February 7, 2012

TIGO YAKABIZI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'ZAMU YAKO KUSHINDA'


Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa lap top Bw.Dickson Saruti wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa milioni nne Bw.Issack Rajabu wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa milioni nne Bw.Benetson Gobelabo wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo ,Bi, Alice Maro (kushoto) na Mratibu wa Matukio wa Kampuni hiyo Bw.Edward Shik wakimkabidhi mshindi wa lap top Bi.Theresia Kagoma wakati wa kugawa zawadi kwa washindi wa promosheni ya 'zamu yako kushinda.(picha na burudan blog)

No comments :

Post a Comment