Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, May 9, 2012

EDUWARD LOWASA AMPONGEZA KIDUNDA



 
KATIBU wa shirikisho la ngumi za Ridhaa nchini BFT Makore Mashaga pamoja na makocha na viongozi wa BFT kwa pamoja wamempongeza bondia Selemani kidunda kwa kuteuliwa kushiriki mashindano ya Olimpiki yanayotarajia kufanyika hivi karibuni
akizungumza katika afla hiyo ya kumpongeza na kumtia moyo kuendelea na mazoezi kwa ajili ya michunano ya olipiki inayokuja karibuni aidha Makamu mwenyeki wa BFT Michael Changalawe amemshukuli Waziri Mkuu Mstaafu Eduward Lowasa kwa kumpatia Kidunda Dola 100 baada ya kukutada Dubai wakati wanarudi Tanzania
kambi ya ngumi inaingia kambini kesho tarehe 10 katika uwanja wa ndani wa taifa kwa ajili ya mazoezi zaidi mbali na mashindano hayo timu hiyo imeomba wafadhili wajitokeze kwa ajili ya kuipa sapoti ambapo wanatarajia kwenda botswana kwa ajili ya kuweka kambi ya bondia Kidunda na wengine kupima Viwango vyao
alisema Makore timu inakabiliwa na uaba wa wafadhili hivyo kuwaomba watu binafsi mashirika pamoja na makampuni kujitokeza kusaidia mchezo wa masumbwi ili uweze kusonga mbele nchini

No comments :

Post a Comment