Muigizaji nyota wa Filamu nchini Elizabeth
Michael a.k.a Lulu (17) anaehusishwa na kifo cha Muigizaji
Mwenzie, Marehemu Steven Kanumba, aliye fariki dunia Aprili 7 mwaka huu
nyumbani kwake maeneo ya Vatican Sinza Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika muonekano mpya tokea
amepelekwa lupango. Kwa sasa msanii huyu anaonekana kunenepa wakati kila mtu
anaamini yuko kwenye kipindi kigumu sana pengine kuliko vipindi vyote
katika maisha yake tangu azaliwe. Kingine najiulizaga siku zote ile
mimba ambayo ilikua ikiongelewa sana imepotelea wapi?
NGORONGORO YANADI UTALII MKUTANO WA MAHAKIMU NA MAJAJI DODOMA
-
Na Mwandishi wetu, Dodoma.
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeshiriki mkutano mkuu wa Chama
cha Mahakimu na Majaji Tanzania kwa lengo la kunadi ...
2 hours ago





No comments :
Post a Comment