Mkurugenzi wa Mancom Center Costantine Magavilla akizungumza na
wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kuanza kwa maonesho
ya Tigo Sarakasi Mama Afrika yatakayofanyika kwenye kituo Cha Sanaa Cha
Mwalimu Nyerere (New World Cinema) Mwenge jijini Dar es Salaam, kulia
ni Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo Gaudence Mushi na Afisa habari
wa Tigo Alice Maro
Monday, September 24, 2012
TIGO MAMA AFRIKA SARAKASI KUANZA WIKI HII
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment