Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, September 28, 2012

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFUNGA SEMINA YA MASHEHA NA MADIWANI PEMBA




 Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Mikoa ya Pemba,wakiwa katika semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset beach Hotel Wesha.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
 Sekretarieti ya Baraza la Mapinduzi wakifuatilia kwa makini Mijadala na michangio mbali mbali iliyotolewa na wajumbe wa Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya  Baraza la Mapinduzi kwa Ushirikiano na UNDP.
 Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdul Yahya Mzee,akichangia mada ya Wajibu wa Serikali za Mitaa katika Kusimamia utawala Bora, katika  Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya  Baraza la Mapinduzi kwa ushirikiano na UNDP. 
 Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalin Seif Sharif Hamad,alipokuwa akichangia Mada ya "Wajibu wa  Serikali za Mitaa katika Kuimarisha Utalii kwa Wote",katika  Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja Mstaafu.
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho Zanzibar Mohamed Juma Ame,akiwasilisha Mada ya "Wajibu wa Masheha katika Uandikishaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi",katika  Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya  Baraza la Mapinduzi kwa Ushirikiano na UNDP. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,baada ya kuwasilishwa Mada ya  "Wajibu wa Masheha katika Uandikishwaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari",iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya  Baraza la Mapinduzi kwa ushirikiano UNDP,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalin Seif Sharif Hamad .Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments :

Post a Comment