Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
na mwenyeji wake Rais Mwai E. Kibaki wa Kenya pamoja na ujumbe wake
wakiingia Ikulu ya Nairobi Jumanne, 11 Septemba , 2012, alipoanza
Ziara Rasmi ya Kiserikali (State Visit) ya siku tatu nchini humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipokewa na Waziri wa Elimu ya Juu wa Kenya, Mheshimiwa Margaret Kamar
alipowasili Chuo Kikuu cha Kenyatta kufungua rasmi Jengo la Shule ya
Ukarimu na Utalii ya Chuo hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akikata utepe kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo
Kikuu cha Kenyatta. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu ya Juu, Mheshimiwa
Margaret Kamar na kuhsoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa
Olive Mugendi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitembezwa kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanywa na wanafunzi
baada ya kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo
Kikuu cha Kenyatta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akipozi na wanafunzi wawili waliotoa burudani ya vichekesho wakati wa
sherehe za ufunguzi rasmi wa Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo
Kikuu cha Kenyatta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akitoa hotuba ya kufungua rasmi Jengo la Shule ya Ukarimu na Utalii ya
Chuo Kikuu cha Kenyatta.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akikabidhiwa zawadi ya picha ya kuchora baada ya kufungua rasmi Jengo
la Shule ya Ukarimu na Utalii ya Chuo Kikuu cha Kenyatta.
No comments :
Post a Comment