Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) Lutengano
Mwakahesya (PhD) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
leo kuhusu kuanza kwa shindano la usambazaji wa umeme vijijini, ambapo
taasisi mbalimbali za vijijini ziliwasilisha maombi yao, ambapo mchujo
wa shindano hilo unatarajiwa kufanyika Mkoani Arusha Oktoba 1 na 2.
Mradi huo ni wa ushirikiano kati ya Serikali na Benki ya Dunia (WB),
kulia ni Mkurugenzi wa fedha wa REA George Nchwali.
Baadhi ya wafanyakazi wa REA wakifuatilia mkutano huo kati ya waandishi wa habari na Mkurugenzi wa wakala huyo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa REA wakifuatilia mkutano huo kati ya waandishi wa habari na Mkurugenzi wa wakala huyo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
No comments :
Post a Comment