Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha
Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa semina elekezi ya siku
moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA),
kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza
ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii.
Semina hiyo ilifanyika juzi.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Marry Mwanyato, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya
siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA),
kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza
ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii.
Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi, Jijini
Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Brigita Kisenga, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya
siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA),
kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza
ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii.
Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi, Jijini
Dar es Salaam.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA) baada ya ufunguzi wa Semina elekezi ya
siku moja iliyoandaliwa na chama hicho kujadili changamoto mbalimbali
zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja,
masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na
Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wanawake wa Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA).
No comments :
Post a Comment