Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, September 26, 2012

SERENGETI BOYZ KUKIPIGA NA ASHANT UTD LEO



Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) baada ya ziara ya Mbeya imerejea Dar es Salaam ambapo inaendelea na maandalizi na kesho (Septemba 26 mwaka huu) itacheza mechi ya kirafiki na timu ya daraja la kwanza ya Ashanti United.
 
Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni kwa kiingilio cha sh. 500 tu

No comments :

Post a Comment