Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, September 17, 2013

HOSPITALI ZA TUMBI, MOROGORO NA USALAMA BARABARANI ZANUFAIKA NA MSAADA WA TBL



 AFISA Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dorris Malulu mwenye miwani akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. Mil. 13 kwa Daktari wa Upasuaji katika hospitali ya  Tumbi Kibaha, Pwani,hiyo Dkt. Petter Datan, katikati ni Mkuu wa Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Pwani Nassoro Sisiwaya
katikati ni mmoja wa madaktari wa hospitali hiyo. (Picha na Mwenge said)
Mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro dk Godfrey Mtey kushoto akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Afisa Uhusiano wa kampuni ya bia ya TBL, Doris Malulu yenye thamani ya sh14.6 milioni ili kuweza kutumika wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ikihusisha madereva wa nagari kupima afya katika mizani ya Mikese mkoa wa Morogoro, katikati ni Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Boniface Mbao.

No comments :

Post a Comment