Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, September 17, 2013

Waziri aagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula na TRL kushirikiana




 Waziri wa Nchi Ofisi ya WaziriMkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe. William V. Lukuvi   (MB)akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kituo cha Mpanda Bw. Nahoda Khatib (wakatikati)wakati wa Ziara yake kikazi katika Mkoa wa Katavi iliyoanza jana tarehe 16 Septemba,2013. Kushoto (mwenyetai) ni Bw. C. Sadda Meneja Usafirishaji Kanda ya Tabora.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. William V. Lukuvi (MB) akikagua Soko la Kimatifa la Mahindi la Isunta katika Wilaya ya Nkasi akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea sehemu za Ununuzi na Uhifadhi Mahindi nchini.

No comments :

Post a Comment