Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Wednesday, September 18, 2013
KINANA ASEMA CCM HAIKO TAYARI KUBURUZWA NA WAPINZANI, IKO TAYARI KUKOSOLEWA KWA HOJA
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Simiyu Mh. Dk Titus Kamani wakishirikiana na wananchi
kusogeza matofari katika eneo itakapojengwa nyumba ya mwenyekiti wa
shina namba 12 Isenge kijiji cha Igaganulwa Kata ya Dutwa ambapo Katibu
Mkuu huyo amfanya harambee na kukusanya michango mbalimbali kwa ajili
ya kununulia vifaa vya ujenzi wa nyumba hiyo.Mbunge
wa Jimbo la Bariadi Magharibi Mh. Andrew Chenge wa nne kutoka kulia ni
Pascal Mabiti Mkuu wa mkoa wa Simiyu wa tano wakishiriki katika zoezi la
kubeba matofali kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo ya mwenyekiti wa
shina.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia na Nape Nnauye Katibu wa NEC
Itikadi, Siasa na Uenezi wakishiriki kuchimba msingi kwa ajili ya
ujenzi wa nyumba hiyo inayojengwa katika kitongoji cha Isenge kata ya
Dutwa.Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akiwa amekaa pamoja na wananchi katika mkutano wa shina namba 12 Isenge kata ya Dutwa.Wananchama wa CCM shina la Isenge wakimsikiliza Katibu Mkuu hayupo pichani.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia akishiriki kula chakula cha
kiasili cha kisukuma kinachoitwa Michembe, kutoka kushoto ni Mh. Andrew
Chenge Mbunge wa jimbo la Bariadi Magharibi, Pascala Mabiti Mkuu wa mkoa
wa Simiyuna Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani
wakishiriki kula chakula hicho.Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akila wali pamoja na wananchi katika kata hiyo Wakina
mama wakiendelea na biashara zao katika soko la Kata ya Dutwa ambalo
limejengwa na Serikali kwa kushirikiana na wananchi pamoja na mbunge wa
jimbo hilo.Biashara zikiendelea sokoni hapo.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia kushoto akiongozana na
Mbunge wa jimbo la Bariadi Magharibi Mh. Andrew Chenge wakati akikagua
soko hilo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiulizia bei ya Dagaa kwa Zawadi Malina Mchuuzi wa Dagaa katika soko hilo.Daud Njalu SilangaMwenyekiti
wa UVCCM Mkoa wa Simiyuakinunua Kabichi kutoka kwa Marietha Maiko
mchuuzi wa mbogamboga katika soko hilo lililopo kata ya Dutwa Bariadi.Wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani wakati akizungumza katika soko la Dutwa.Mh. Andrew Chenge Mbunge wa jimbo la Bariadi Magharibi akizungumza na wananchi katika soko hilo.
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment