Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakati walipokutaba na kufanya mazungumzo ya faragha, katika Hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, jijini Kampala, Uganda.(picha na Freddy Maro)
KIDUME KILIVYOMPIGA SHERE SIMBA
-
Jacob Lekumbere,Afisa Utalii kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
hatosahau siku alipotumia mbinu za kimedani kumkwepa simba aliyetazamana
naye uso...
6 hours ago


No comments :
Post a Comment