Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, September 1, 2013

IBRAHIM KAMWE (BigRight) AJITOA T.P.B. O



Katibu mkuu wa Tanzania Professional Boxing Organisation (TPBO) Ibrahim Kamwe ambaye anajulikana kwa jina la bigright amejitoa  katika uongozi wa chama cha ngumi kama kiongozi.
Bigright ambae ukiondoa mambo ya kichama mara nyingi amekuwa akiwaongoza maofisa wa chama hicho katika shughuli mbalimbali na mapambano mengi kama jaji mkuu ,muhifadhi rekodi za mabondia na mshauri katika shughuli za kiufundi.
Akizungumza na vyanzo vya habari amesema ameamua kupumzika shughuli za TPBO na kurudi kwenye ufundishaji wa vijana na kuendelea na kampuni yake ndogo ya bigright promotion ambayo inajihusisha na utayarishaji wa matamasha na uandaaji wa mapambano ya ngumi. ‘ kwa kuwa naupenda mchezo wa ngumi  nimefanya shughuli hii kwa muda mrefu kukiwa   na utatautata wa hapa na pale   na yote hii kwa ajili ya kuuendeleza mchezo wa ngumi nchini lakini imekuwa ni ngumu kwangu kuendelea na wadhifa huo , nawashukuru maofisa wenzangu wamekuwa wakinipa ushirikiano wa karibu. Ila kwa sasa najitoa katika uongozi na nitajihusisha na ngumi kivingine ikiwemo kuwaendeleza vijana na kuandaa mapambano madogomadogo ya kukuza vipaji

No comments :

Post a Comment