Mbunifu
wa mitindo nchini Asia Idarous akizungumza wakati wa uzinduzi wa
shindano jipya la wanamitindo linalojulikana kwa jina la Tanzania Top
Model uliofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es
salaam jana na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa mitindo ya mavazi,
Kulia ni Jackson Kalikumtima Mkurugenzi wa Kamati ya Tanzania Top Model
KIDUME KILIVYOMPIGA SHERE SIMBA
-
Jacob Lekumbere,Afisa Utalii kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
hatosahau siku alipotumia mbinu za kimedani kumkwepa simba aliyetazamana
naye uso...
5 hours ago
No comments :
Post a Comment