Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, September 14, 2013

KUNDI LA EL SHADAI NA FLORA MBASHA WATOA VIDEO MPYA ZA NYIMBO ZA INJIRI



Moses Mwanyiro alijuza safu hii kuwa video hizo kwa sasa zipo mtaani na watu wote wanakaribishwa kwenda kupata nakala zao arisi ili waenderehe kupata burudani
dvd hizo zilizo na nyimbo mbalimbali zikiwa na ujumbe wa kumtukuza mungu zitakuwa chacha kwa watanzania kupata kumkumbuka mungu na kufanya matendo mema Kampuni ya steps ya jijini Dar es salaam imekuwa ikipokea kazi mbalimbali za sanaa ku kuzifanyia promosheni ili wananchi wapate kitu kilicho bora zaidi  msanii Flora mbasha kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya wa usilie tena ambao umebeba jina la albam yake mpya iliyoko mtaani

No comments :

Post a Comment