Pia kuhusu Dogo Janja kutoa Chorus za Tunda Man kwenye Nyimbo zake ,Tunda amesema jambo kama hilo linawezekana na tumeone wasanii wengi wakifanya hivyo.Beat za nyimbo zipo na sauti zake so ni kitu cha kufanya tu sio issue kubwa sababu huwezi ukasema nipo na TIPTOP Alafu unawatambulisha Watanashati.
LIGI KUU TANZANIA BARA LEO.
-
Ligi kuu tanzania bara imeendelea leo kwa matokeo ya mnyama simba sports
klabu kuibuka na ushindi wa mabao 3 kwa 0 dhidi ya Namungo.
Wakati Azam ikish...
3 hours ago
No comments :
Post a Comment