Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, November 3, 2009

JAHAZI WALIPOZINDUA DAKTARI WA MAPENZI DR LOVE

Mwanamuziki wa kikundi cha jahazi morden taarabu Mzee Yusuph akiwajibika jukwaani sambamba na mpiga kinanda wa kikundi hicho Thabiti Abduri wakati wa uzinduzi wa albamu ya Dakitari wa mapenzi iliyofanyika Dar es salaam juzi na kudhaminiwa na kampuni ya Serengeti leger.(Picha na Rajabu Mhamila)Kila mtu achunge mzigo wake "Mzee na mkewe Laila rashidi"Ishaa Ramadhani akilamba pipi ya kijiti sambamba na Mzee YusufPooleee samaki pooleee wanynage wakiserebukawaimbaji wa kundi la OFFSIDE TRICK Saidi Ahmadi (Lilgheheto) wakiimba wimbo wao wa ' poleee samaki poleee wanavyo kufanyaa na wanavyokula jicho 'walipokuwa wana sindikiza uzinduzi wa albabu ya Jahazi kushoto ni Said Hamdani na Mudathir Masuod.(Picha na Rajabu Mhamila)Mpishi mkuu wa Serengeti Raf akizindua kanda ya Dr LoveBAHATI SIGHN wa Serengeti alikuwepoMwimbaji wa kikundi cha jahazi morden taarabu Kidawa Ally kushoto akimlisha keki mwanamuziki mwenzie Abubakari Sudy (amigo) wakati wa utambulisho wa albamu yao mpya ya dakitari wa mapenzi iliyofanyika wishoni mwa wiki iliyopita.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments :

Post a Comment