Klabu ya Yanga imekanusha kupokea taarifa ya kurejea kwa wachezaji iliyowauza kwa mkopo katika klabu ya Moro United na African Lyon.
Lusi Sendeu ni Afisa Habari wa klabu ya Yanga amesema taariaf hizo nao wamezisikia katika vyombo vya habari lakini hawana taarifa nazo, na kudai pindi zitakapowafikia watalifanyia kazi na kutoa maamuzi.
Taarifa za kuaminika mchezaji Casto Mumbala aliyekuwa akicheza kwa mkopo African Lyon na Abubakari Mtiro aliyekuwa kwa mkopo Moro Unted imebainishwa wametemwa kufuatia viwango vyao kushuka.
MSUVA AUNGA MKONO MPANGO WA MAFUNZO WA JAB KUELEKEA AFCON 2027
-
Na Mwandishi Wetu
Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon
Msuva, amepongeza mpango wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa H...
14 hours ago
No comments :
Post a Comment